sw_tn/num/32/01.md

238 B

Sasa

Hili neno "sasa" linatumika hapa kuonesha mwanzo wa habari mpya. Musa anaanza kueleza historia ya Kabila la Reubeni na Gadi.

Atarothi, Diboni, Jazeri, Nimrahi, Heshiboni, Elealehi, Sabamu, Nebo na Beoni

Haya ni majina ya miji