sw_tn/num/31/36.md

252 B

Taarifa kwa ujumla

Musa anaorodhesha nyara ambazo zitaenda kwa maasikari na kodi itakayoenda kwa BWANA.

ile nusu iliyokuwa imetunzwa kwa ajiai ya maaskari

"sehemu ya kondoo wa maaskari"

elfu thelathini na sita

36,000

sabaini na mbili

72