sw_tn/num/31/32.md

387 B

Sasa

Neno hili limetumika hapa ili kuonesha mwisho wa habari hii kuu. Pia Musa anaanza kusikiliza juu ya kiasi cha nyara na kiasi gani kilitolewa kwa maaskari, kwa watu, na kwa BWANA.

maksai elfu sabini na mbili, punda elfu sitina na moja, na wanawake elfu thelathini na mbili

"makisai 72,000, punda 61,000, na wanawake 32,000."

amabao walikuwa hawajalala na mwanaume

mabikra