sw_tn/num/31/16.md

8 lines
159 B
Markdown

# Tazama
Hii ilikuwa ni kuwataka wasikilize na kuelewa ambacho msemaji alikuwa anawaambia wasikilizaji
# aliyelala na mwanaume
aliyefanya ngono na mwanaume