sw_tn/num/29/12.md

582 B

Taarifa kwa uumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya

siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba

"siku ya 15, ya mwezi wa 7, ya kalenda ya Kihebrania"

mtakuwa na kusanyiko takatifu

"kusanyikeni ili kumwabudu na kumheshimu BWANA"

mtazitunza hizo sikukuu kwa ajili ya BWANA.

"Mtazikumbuka hizo sikukuu kwa ajili ya BWANA"

sadaka iliyotengenezwa kwa moto

"mtaiteketeza kwenye madhabahu"

mafahari wachanga kumi na tatu, kondoo waume wawili, na wanakondoo waume kumi na nne

mafahari wachanga 13, kondoo waume 2, na wanakondoo waume 14.