sw_tn/num/29/06.md

572 B

katika mwezi wa saba ... mwanzo wa kila mwezi

"mwezi wa 7 ...mwanzo wa kila mwezi katka kalenda ya Kihebrania."

kilka mwezi ... pamoja na sadaka maalumu ... na sadaka zake

"kwa kila mwezi, sadaka maalumu za kuteketezwa ... pamoja nazo"

sadaka za kuteketezwa za kila siku, sadaka zake za unga na sadaka zake za vinywaji.

"sadaka za kila siku za kuteketezwa pamoja na sadaka za unga na sadaka za vinywaji zinazoambatana nazo"

utakuwa ukitii kilichoamriwa

"utatii amri za BWANA"

sadaka iliyotengenezwa kwa moto

sadaka uliyoteketeza madhabahuni kwa BWANA"