sw_tn/num/29/01.md

393 B

Taarifa kwa uumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya

siku ya kwanza ya mwezi wa saba

"siku ya 1, ya mwezi wa 7 ya mwezi, katika kalenda ya Kihebrania"

mtakuwa na kusanyiko takatifu la kumwabudu BWANA

"Kusanyikeni pamoja ili kumwabudu na kumheshimu BWANA"

Itakuwa siku ya kupiga matarumbeta

"Itakuwa siku ambayo makuhani watapiga matarumbeta"