sw_tn/num/28/19.md

372 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya

mtatoa sadaka iliyotengenezwa kwa moto

mtateketeza sadaka madhabahuni

sehemu za tatu za efa

"lita sita"

iliyochanganywa na mafuta

"ambayo umeichanganya na mafuta"

sehemu za pili

takribani lita 4.5

sehemu ya kumi ya efa

"lita 2"

kufanya upatanisho

"kupatana"