sw_tn/num/28/03.md

333 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya.

sadaka iliyotengenezwa kwa moto

"sadaka ya kuteketezwa"

iliyochanganywa na

"ambayo mmeichanganya na"

sehemu ya kumi ya efa

"lita 2"

robo ya hini

"lita moja"

mafuta yaliyokamuliwa

"mafuta safi ya mizeituni yaliyokamuliwa"