sw_tn/num/28/01.md

12 lines
243 B
Markdown

# kwa wakati uliopangwa
"kwa wakati ambao nimeuchagua"
# chakulacha sadaka yangu kilichotengenezwa kwa moto ili kutoa
"chakula cha sadaka ambacho mtaiteketeza kwenye madhabahu"
# kutoa harufu nzuri kwa ajili yangu
"harufu ninayoifurahia"