sw_tn/num/27/02.md

215 B

Walisimama

"Binti wa Zelofehadi walisimama"

Waliompinga BWANA katika lile kundi ka Kora

"Waliokufa kwa sababu walikuwa miongoni mwa wafuasi waliompinga BWANA"

kwa dhambi zake

"kwa sababu ya dhambi zake"