sw_tn/num/25/04.md

294 B

viongozi wote wa watu

"viongozi wote wa watu ambao wana hatia ya kuabudu sanamu"

ili waonekane wakati wa mchana

Viongozi wa Waisraeli watawaua watu hawa na kuacha maiti zao nje ili watu wote wawaone

Viongozi wa Israeli

"Kwa viongozi wa Israeli wasiokuwa na hatia ya kuabudu sanamu"