sw_tn/num/24/23.md

238 B

Ole wake atakayesalia Mungu atakapoyafanya haya?

"Hakuna atakayesalia Mungu atakayefanya haya"

Kittimu

Hili ni jina la mji katika kisiwa kilicho katika bahari ya kati.

wao pia wataishia katika uharibifu

"Mungu atawaharibu pia"