sw_tn/num/24/17.md

785 B

Taarifa kwa ujumla

Balaamu anaendelea na unabii wake wa kwanza

Ninamwona, lakini hayuko karibu sasa. Ninamtazama, lakini siyo karibu

Virai hivi vinamaanisha kitu kimoja. Hapa Balaamu anatoa maona ya tukio la wakati ujao. Kiwakilishi "mwo" kinamaanisha kiongozi wa Israeli wa baadaye.

Nyota itatokea katika Yakobo

"Nyota" inaonesha mfalme wa Waisraeli ambaye atainuka katika mamlaka.

Katika Yakobo

"kutoka katika uzao wa Yakobo"

Na fimboya enzi itainuka katika Israeli

Neno "fimbo" linamaanisha mfalme mwenye mamlaka

Katika Israeli

Kutoka kwa Waisraeli hapo baadaye"

atawapigapiga viongozi wa Moabu

Yaweza kumaanisha 1) atavunja vichwa vya viongozi wa Moabu 2) atawaharibu viongozi wa Moabu.

uzao wa Sethi

Hii inamaanisha Wamoabu, waliokuwa uzao wa Sethi