sw_tn/num/23/01.md

259 B

Balaki

Tazama 22:2

Uandae mafahri saba na kondoo dume saba

"uchinje mafahari saba na kondoo dume saba kuwa sadaka"

simama kwenye sadaka yako ya kuteketezwa na mimi nitaenda

"baki hapa na sadaka yako ya kuteketetezwa na mimi nitaenda umbali kidogo"