sw_tn/num/21/17.md

370 B

enyi visima, yajazeni maji

"enyi maji, vijazeni visima"

Kisima ambacho viongozi wetu walichimba, kisima ambacho wenye hekima walichimba

Virai hivi viwili vivnamaanisha kitu kile kile, vimetumika kusisitiza wajibu wa viongozi kwa jukumu la kuchimba visima.

kwa fimbo ya kifalme na kwa fimbo ya kutembelea

"wakitumia hata fimbo zao za kifalme na za kutembelea"