sw_tn/num/20/20.md

247 B

kwa hiyo mfalme wa Edomu akawa kinyume cha Israeli kwa mkono wenye nguvu pamoja na jeshi kubwa sana.

"mfalme wa Edomu akatuma jeshi kubwalenye askari wengi ili kuwavamia Waisraeli"

kupita kwenye mipaka yake

Neno "yake" linamaanisha Waedomu