sw_tn/num/20/01.md

12 lines
307 B
Markdown

# Jangwa la Sini
Neno "Sini" ni neno la Kihebrania la jangwa.
# mwezi wa kwanza
Huu ni mwezi wa kwanza wa Kalenda ya Kihebrania. unaoanza wakati Mungu aliwakomboa kutoka kwa Wamisri. Mwezi huu ulikuwa kati ya mwezi Machi na mweziwa Aprili katika Kalenda yetu ya Kimagharibi
# alipozikwa
"na wakamzika"