sw_tn/num/18/21.md

236 B

Sentensi unganishi

Mungu anaendelea kuongea na Haruni

Tazama, Nimewapatia

"Neno "tazama" linaongeza msisitzo wa kile kinachofuata. "kwa hakika, Nimwewapeni"

kuwa urithi wao

"kama sehemu ay kile ninachowapatia Waisreali wote"