sw_tn/num/16/36.md

16 lines
238 B
Markdown

# kutoka ule moto
Hii inamaanisha ule moto uliowaangamiza wale wanaume 250
# wale waliopoteza maisha
"wale waliokufa"
# Na vifanyike
"Na Eliezeri atavifanya"
# ni vitakatifu. Vitakuwa ishara
"vi" na "vi" inamaanishsa vile vyetezo