sw_tn/num/16/18.md

1.5 KiB

moto

moto ni joto, mwanga, miali ambayo hutokea wakati kitu fulani kinapochomwa. Moto pia hutumika kwa maana ya utakaso au hukumu.

hema ya kukutania

Hii ni hema ambayo ya mud ambayo Mungu aliitumia kukutana na Musa kabla ya kujengwa ile masikani. Hema ya kukutania iliwekwa nje ya kambi. Wakati mwiingine neno "hema ya kukutania" ilitumika kumaanisha masikani. Baada ya Waisraeli kujenga masikani; ile hema ya kukutania haikuwepo tena.

Musa

Huyu alikuwa nabii na kiongozi wa Waisraeli kwa muda wa miaka 40

Haruni

Huyu alikuwa kaka mkubwa wa Musa. Mungu alimchagua Haruni kuwa kuhani mkuu wa kwanza wa watu wa Israeli

Kora

Kora ni jina la wanaume watatu katika Agano la kale. Wa kwanza ni yule mwana wa Esau ambaye baadaye alikuja kuwa kiongoziwa watu wake. Wa pili ni yule aliyekuwa wa uzao wa Lawi ambaye pia alitumika kwenye masikani kuhani na baadaye kumwonea wivu Musa naHaruni na alikuwa nakundi la wanaume waliowapinga. Wa tatu ni yule alyeorodheshwa kama kwenye ukoo wa Yuda.

BWANA (YAHWEH)

BWANA ni jina binafsi la Mungu ambalo alilifunua wakati aliapoongea na Musa kwenye kile kichaka kilichokuwa kinawaka moto. Neno hili YAHWEH linatokana na neno linalomaanisha "kuwepo" au "kuishi." Maana halisiy aweza kuwa "Yeye ndiye" au "Mimi ndiye" au "Yeye anyewezesha kuwepo."

utukufu

Neno "utukufu" linamanisha heshima, fahari, na ukuu uliotukuka. Wakati mwingine utukufu humaanisha kitu chenye thamani kubwa na cha muhimu. na Kwa mukhutadha mwingine inaweza kumaanisha mng'ao au hukumu.