sw_tn/num/15/37.md

303 B

wana wa Israeli

Israeli lilikuwa jina jingine la Yakobo. "watu wa Israeli"

na kuzishika

"kuzitii"

ili kwamba msije mkatangatanga katika mioyo yenu na macho yenu

"ili kwamba msije mkafikiria chochote manchokitaka"

na kuwa waasherati kwa hayo

"na kwa aibu mkashindwa kuw waaminifu kwangu"