sw_tn/num/15/30.md

506 B

Huyo mtu ataondolewa kati ya watu wake

Yaweza kumaanisha 1)" watu wake watamfukuza 2) "sitamtambua tena kuwa sehemu ya watu wa Israeli 3) "watu wake lazima watamwua."

amevunja amri yangu

"ameshindwa kutii amri yangu"

Dhambi yake itakuwa juu yake

Hapa "dhambi" inamaanisha 1) adhabu kwa ajili ya dhambi 2) hatia ya dhambi hiyo. dhambi kuwa juu yake ni sitisri inayomaanisha 1) kuadhibiwa 2) kuwa na hatia. kwa hiyo, Nitamwadhibu kwa sababu ya 1)dhambi zake au 2) Nitamwonw kuwa ni mwenye hatia.