sw_tn/num/15/20.md

506 B

mikate yenu ya kwanza

yaweza kumaanisha 1) mazao ya kwanza watakayokusanya wakati wa mavuno 2) Mikate ambayo itatengenezwa kutoka kwenye mavuno yao ya kwanza.

mkate

inapoitwa mkate mmoja ina maana kuwa walioka mkate kwanza

mtaiinua kwanza kama sadaka ya kuinuliwa

"kuiinua kama sadaka"

sadaka iloiyoinuliwa kutoka mahali pa kupuria nafaka.

Sadaka hii inafanywa kuwa sadaka kutoka mahali pa kupuria nafaka kwa sababu hapo ndipo mahali ambapo nafaka hutenganishwa na sehemu zingine za mmea.