sw_tn/num/14/44.md

318 B

walithubutu kukwea mlimani

"walithubutu kwenda mlimani hata kam ungu hakuwaruhusu"

mlimani

Sehemu kubwa ya nchi ya Israeli ni ya milima.Waisraeli walipovuka bonde Mto Yorodani ili kuivamia nchi ya Wakanaani, kulikuwa na milima ambayo walilazimika kuikwea ili waweze kwenda mbali zaidi ndani ya nchi ya Kanaani.