sw_tn/num/14/13.md

306 B

uso wako umeonekana

Yaweza kumaanisha 1)Musa anaoakijionyesha kwa watu wake kama vile Mungunggea habari za Mungu amewaruhusu kuuona uso wake. "wamekuona" 2) Musa anaongelea ukaribu wa uhusiano wake na Mungu kama vile Musa humwona Mungu pale Mungu anapoongea naye. "wewe huongea moja kwa moja na mimi."