sw_tn/num/13/27.md

234 B

kwa hakika ni nchi ya kutiririka maziwa na asali

"kwa hakika ni nchi nzuri kwa ufugaji na kilimo cha mazao" au " kwa hakika ni nchi yenye rutuba"

maziwa

"mazao ya yatokanayo na wanyama"

asali

"chakula kitokanacho na mazao"