sw_tn/num/13/21.md

403 B

Sini ... Rehobi ... Zoani

Haya ni majina ya maeneo

jangwa la Sini

Neno "Sini" ni jina la Kihebrania lenye maana ya jangwa.

Hebroni ilikuwa imejengwa miaka saba kabla ya Zoani ya Misri

"Wakanaani walikuwa wameijenga Hebroni miaka 7 kabla ya kuijenga Zoani"

Ahimani ... Sheshai ... Talmai

Haya ni majinia ya koo zilizokuwa zimeitwa kufuata mababu zao.

Anaki

Hili ni jina la mwanamume