sw_tn/num/11/21.md

676 B

Je, tutayachinja haya makundi ya ng'ombe na kondoo ili kuyatosheleza? Je tutawakamaata hawa samamki wote wa baharini ili kuwatosheleza?

"Tutatakiwa kuwachinja makundi yote ya ng'ombe na kuwakama samaki wote wa baharini ili kuwatosheleza!"

Ng'ombe na makundi

Maneno haya yanamaanisha kitu kimoja. Yametumika kuonyesha msisitizo wa kundi kubwa la wanyama

Smamki wote wa baharini

Musa ametumia mfano huu ili kuonyesha kuwa ilivyokuwa vigumu kuwapatia chakula watu wa Israeli.

ilikuwatosheleza

"kuwatosheleza njaa yao"

Je, mkono wangu ni mfupi?

"Je, mnadhani kuwa sina uwezowa kuyafanya haya?" au "manapaswa kujua kuwa mimi nina uwezo zaidi wa kuyafanya haya."