sw_tn/num/11/16.md

369 B

Sehemu ya roho iliyo ndani kwako

Neno "roho" linamaanisha mamlaka ambayo Roho wa Mungu alikuwa amempatia Musa ili kwamba Musa aweze kufanya yale amabyo Mungu alikuwa amemwamuru. "baadhi ya mamlaka ambayo Roho amekupatia wewe"

Nao watabeba mzigo wa watu pamoja na wewe

"Watakusaidia kuwaangalia watu hawa"

Na hautaubeba pekee yako

"Hautawaangalia pekee yako"