sw_tn/num/10/10.md

659 B

wa kusherehekea

"mtakaposherehekea"

mtapiga tarumbet zenu

"utawaamuru makuhani kupigahizo tarumbeta"

katika miandamo ya miezi

Kalenda ya Kihebrania ina miezi kumi na mbili. wakatiwa mwezi kuanza ukiwa na ule mwanga rangi ya fedha unaonyesha mwanzo wa wa mwezi katika kalenda ya Kihebrania.

sadaka zenu za kuteketezwa na kwa sadaka zenu za amani ... kwangu

kiwakilishi "zenu" ni cha wingi kikimaanisha Waisraeli.

kwa heshima ya sadaka zenu

""kwa heshima ya sadaka"

Huu utakuwa ukumbusho wenu kwangu."

Hii itakuwa kumbukumbu yanagu kwenu". au "daima itanikumbusha."

Huu utakuwa

Neno "huu" linamaanisha zile tarumbeta na zile sadaka.