sw_tn/num/10/03.md

361 B

mbele yako

"wakati ukiwepo." Yaani Musa akiwepo wakati Makuhani watakapozipiga hizo taraumbeta.

basi viongozi, vichwa vya koo za za Israeli

virai hivi viwili vinamaanishsa kitu kilekile. Kirai cha pili kinatumika kufafanua kirai cha kwanza. "Viongozi ambao ni vichwa vya koo za za Israeli"

Utakapopiga tarumbeta ya sauti kuu

"utakapopiga ishara kuu"