sw_tn/num/08/22.md

380 B

kufanya utumishi wao

Neno "huduma" ni nomino zahania amabyo inaweza kutumika kama kitenzi "kuhudumia"

mbele ya Haruni na mbele ya wanawe

"katika uwepo wa Haruni na wanawe"

Kama BWANA

"Kile walichofanya kilikuwa"

Waliwahudumia Walawi wote kwa jinsi hii

"Waliwafanyia Walawi kile ambacho BWANA alikuwa amewaamuru. "Kiwakilishi cha "wa" kinamaanisha watu wa Israeli.