sw_tn/num/08/16.md

421 B

kila mzaliwa wa kwanza afunguaye tumbo, mzaliwa wa kwanza.

Virai hivi viwili vinamaanisha jamabo lilelile ili kutoa msisitizo wa mzaliwa wa kwanza.

mtoto wa kiume afunguaye tumbo

"mtoto wa kiume ambaye ni mzaliwa wa kwanza kwa mama"

nilipowachukua

Hii ni tafsida inayotumika kuonyesha kitendo cha mtu anapomwua mtu. "Nilipomwua"

Niliwatenga

Kiwakilishi "wa" kinawawakilisha wazaliwa wa kwanza wa Israeli."