sw_tn/num/07/89.md

290 B

aliisikia sauti yake ikimwambia

"sauti yake" inamaanisha sauati ya BWANA. "alimsikia BWANA akimwambia"

kutoka juu ya kiti cha rehema ... kutoka kati kati ya makerubi.

Virai hivi viwili vinafafanua eneo moja

sanduku la ushahidi

Tazama 4:5

Alinena naye

"BWANA alinena na Musa"