sw_tn/num/07/12.md

711 B

Siku ya kwanza

"siku ya 1"

Nashoni mwana wa Amiinadabu

Tazama 1:7

sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130

sahani moja ya fedha inayokaribiauzito wa kiligramu moa na nusu" au sahani moa ya fedha yenye uzani wa kiligramu moja na gramu 430"

bakuli moa yafedha ambayo uzito wake ni shekeli sabini

"bakuli moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 70" au "bakuli moja ya fedha yenye uzito wa garamu 770"

kwa kipimo cha mahali patakatifu

"iliyopimwa kwa kipimo kinachotumika mahali patakatifu"

unga mwembamba uliochanganywa na mafuta

"unga mwembamba ambao umechanganywa na mafuta"

bakuli moja la dhahbu lenye uzani wa shekeli kumi

"bakuli moja la dhahabu ambalo uzani wake ni gramu 110"