sw_tn/num/05/13.md

603 B

Halafu mtu mwingine akalala naye

na mtu mwingine akalala naye

atakuwa amenajisika ... mke wake amenajisika ... mke wake hajanajisika

"amejinajisi mwenyewe ... mke wake amejinajisi mwenyewe ... mke wake hajajinajisi mwenyewe"

katika tendo

"katika tendo la uzinzi" au "kulala naye"

ile roho ya wifu itaendelea kumjulisha yule mume.

Hapa neno "roho" linamaanisha mtazamo na hisia za mtu. Wivu wake umeongolewa kama kuna mtu ambaye anamwambia, "Yule mtu anaweza kujihisi wivu na kuanza kumhofia"

roho ya wivu inaweza kumdanganya yule mwanamume

mwanamume anaweza kuwa na wivu bila sababu.