sw_tn/num/05/08.md

878 B

Lakini k ama mtu huyu aliyetendewa kosa hana ndugu wa kupokea hayo malipo

Lakini kama mtu aliyetendewa kosa amekufa na hana ndugu wa karibu wa kupokea malipo hayo"

kama mtu aliyetendewa kosa

"kama mtu ambaye mtu mwenye hatia amemtendea kosa"

basi atalipa hayo malipo ya hatia kwangu kupitia kwa kuhani.

kama mtu atalipa malipo hayo kwa kuhani kulipia hatia yake ni sawa na kulipa malipo hayo kwa BWANA.

kutoa fidia kwa ajili yake

"kutoa fidia kwa ajili ya dhambi yake"

vitu ambavyo vimetengwa na vikaletwa kwa kuhani na watu wa Israeli

"vitu ambavyo watu wa Israeli wamevitenga na kuvileta kwa kuhani"

sadaka ya kila mtu itakuwa ya kuhani; kama mtu yeyote atatoa kitu chochote kwa kuhani, kitakuwa chake

Virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekile na vinaweza kuunganishwa ili visomeke kuwa, 'sadaka ambayo mtu hutoa huwa mali ya kuhani ambaye wamepewa.