sw_tn/num/03/30.md

215 B

Taarifa kwa ujumla

Mistari hii inatupatia taarifa zinahusiana na koo ambazo zinatokana na Kohathi.

vitu vitakatifu ambavyo hutumika katika huduma yao

"vitu vitakatifu ambavyo makuhani hutumia katika huduma"