|
# Uwaweke
|
|
|
|
"U" inammaanisha Musa.
|
|
|
|
# Nimewatoa kikamilifu
|
|
|
|
Nimewatoa kwa vyote
|
|
|
|
# mgeni yeyote atakayekaribia lazima auawe
|
|
|
|
"lazima mmuue mgeni yeyote atakayesogea karibu.
|
|
|
|
# lakini mgeni yeyote atakayekaribia
|
|
|
|
"lakini mgeni yeyote atakayeikaribia masikani"
|