sw_tn/num/02/24.md

292 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania.

Wote waliohesabiwa katika kambi ya Efraimu ni 108,100

Idadi ya wanaume waliokuwa wameweka kambi mahali pa Efraimu ni 108,100.

wa tatu

"wa 3"