sw_tn/num/02/20.md

246 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania.

Baada ya hao

Hii inamaanisha kuwa kabila na Manase ndilo litakalofuatia.

32,200

wanaume 32,000