sw_tn/num/02/14.md

211 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania.

Eliasafu mwana wa Deuli

Tazama 1:12

45,650

"wanaume 45,650"