sw_tn/num/02/09.md

396 B

Idadi yote ya kambi ya Yuda ni 186,400

Idadi hii inajumuisha wanaume wote katika makabila ambayo yalikuwa yameweka kambi kufuata mahali pa Yuda. "Idadi ya wanaume waliokuwa wameweka kambi ya Yuda ni 186,400.

Watakuwa wa kwanza kuondoka

Hii inamaanisha kuwa watakuwa wa kwanza wakati kambi za Waisraeali zitakapoondoka. "Wakati wa kusafiri watakuwa wa kwanza kuondoka.

wa kwanza

"wa 1"