sw_tn/num/02/05.md

300 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania.

Nathaniel mwana wa Zuari

Tazama 1:7

Kikosi

Hili ni neno la kijedshi lenye maana ya kundi kubwa la wanajeshi. Kila kabila lilikuwa na "kikosi chake."