sw_tn/neh/13/30.md

464 B

Kwa hiyo nimewatakasa

"Kwa njia hii niliwatakasa"

kuimarisha kazi za makuhani na Walawi

"aliwaambia makuhani na Walawi nini walipaswa kufanya"

Nilitoa sadaka za kuni

"Nilipangwa kwa ajili ya utoaji wa kuni kwa ajili ya sadaka za kuni"

matunda ya kwanza

"kwa sadaka ya matunda ya kwanza wakati wa mavuno"

Nikumbuke, Mungu wangu, kwa mema

"Fikiria juu ya yote niliyoyatenda, Mungu wangu, na kunibariki kwa sababu ya mambo mema ambayo nimeyafanya"