sw_tn/neh/13/23.md

331 B

Sentensi Unganishi

Aya hizi zinaonyesha hatua inayofuata.

Wayahudi waliokuwa wameoa wanawake wa Ashdodi, Amoni na Moabu

"Wayahudi ambao walikuwa wameoa wanawake wa kigeni" Mungu alikuwa amekataa kuoa ndoa.

Ashdodi

Jina la mji

Amoni...Moabu

majina ya mataifa

Nusu ya watoto wao

"Matokeo yake, nusu ya watoto wao"