sw_tn/neh/12/44.md

20 lines
798 B
Markdown

# wanaume waliteuliwa kuwa wasimamizi
Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. Haijulikani ambaye aliwachagua wanaume. AT "walichagua wanaume kuwa wajibu"
# michango
mambo watu waliwapa makuhani
# Kwa maana Yuda walifurahi juu ya makuhani na Walawi
Inaonekana kwamba watu waliwachagua wanaume kwa sababu watu wa Yuda waliwashukuru kwa makuhani na Walawi ambao walikuwa wakihudumia.
# waliokuwa wamesimama mbele yao
Walawi na makuhani hawakuwa wamesimama tu, walikuwa wakifanya kazi zao. Maana yanaweza kufanywa wazi. AT "ambao walikuwa wamesimama mbele yao wakimtumikia Mungu."
# Walinzi wa malango
watu waliopewa kila mlango, wajibu wa kudhibiti shughuri zote za jiji au hekalu, na kufungua na kufunga milango kwa nyakati na kwa sababu zilizowekwa na msimamizi. Tafsiri kama katika 7:1.