sw_tn/neh/12/32.md

715 B

Hoshaya....Azaria....Ezra....Meshulamu....Yuda.... Benyamini... Shemaya....Yeremia....Zekaria....Yonathani.... Shemaya....Mataniya.....Mikaya.....Zakur....Asafu

Haya ni majina ya wanaume.

na baada yake akaenda

"na nyuma yao walimfuata"

na wana wa makuhani waliokuwa na tarumbeta, na Zekaria

Matoleo mengine yanasoma, "na kati ya makuhani na tarumbeta, Zekaria"

Zekaria mwana wa Yonathani mwana wa Shemaya mwana wa Mataniya mwana wa Mikaya mwana wa Zakuri mwana wa Asafu.

Majina yote baada ya "Zekaria" ni mababu wa Zakaria. Orodha hii inaunganisha Zakaria na mwimbaji maarufu Asafu. "Zekaria, mwana wa Yonathani, mwana wa Shemaya, mwana wa Matania, mwana wa Mikaya, mwana wa Zakuri, mwana wa Asafu."