sw_tn/neh/12/24.md

16 lines
893 B
Markdown

# kutii amri ya Daudi
Mfalme Daudi aliwaamuru Walawi jinsi walivyopaswa kuandaa na kuabudu ibada.
# waliokuwa wamesimama mbele yao kumtukuza na kumshukuru, akijibu sehemu kwa sehemu
Hii inahusu jinsi walivyo imba baadhi ya nyimbo zao katika ibada. Kiongozi au kikundi kimoja angeimba maneno, kisha kikundi kimoja au viwili ambacho "vinasimama kinyume nao" ingeweza kuimba maneno katika jibu.
# katika siku za Yoyakimu.....Yosadaki, na katika siku za Nehemiya, gavana na Ezra.....mwandishi
Tarehe hiyo ilikuwa imefungwa kwa kutaja wale ambao walikuwa wakiongozwa na Wayahudi wakati huo. 'wakati Yehoyakimu ... Yehozadaki alikuwa kuhani mkuu, na wakati Nehemia alikuwa gavana na Ezra ... alikuwa mwandishi'
# Hashabia, Sherebia..... Yeshua....Kadmieli....Daudi....Matania, Bakbukia, Obadiya, Meshulamu, Talmoni na Akubu....Yoyakimu....Yoshua....Nehemia....Ezra
Haya ni majina ya wanaume.